GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

GE2025 Mbunge wa Zamani Sumbawanga Aeshi Hilaly Adaiwa Kugonga Makusudi Gari la Sultan Seif Salehe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Katika video inayosambaa katika mitandao ya kijamii, inadaiwa ni tukio lililofanywa na mbunge wa Sumbawanga aliyemaliza muda wake na mtia nia pia kupitia CCM, Aeshi Khalfan Hilaly, kwa kugonga makusudi gari la Sultan Seif Salehe.

1754307634178.jpeg


1754307654430.jpeg
 
Any means necessary.

Wamejifunza kutoka juu, kama mgombea uraisi kapita kwa uhuni, mchujo wa wagombea umefanyika kwa uhuni. Kwanini kwenye harakati tusione mambo ya kihuni.

Kwa sasa matokeo ya kura za maoni yakitangazwa tunategemea kusikia nusu ya wagombea kutokubali matokeo, kwa sababu uchaguzi wenyewe mpaka sasa inaonekana unaendeshwa kihuni.

Kamati kuu kwenda kuidhinisha majina na kwenyewe tena watarudia uhuni kama watu wao hawakushinda kura za maoni.

Nchi imeshakuwa ya kihuni
 
Back
Top Bottom