Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Mbunge wa zamani wa Uingereza George Galloway amezuiliwa chini ya 'Sheria ya Ugaidi' leo, kwa klipu aliyoirusha hewani saa chache kabla kwenye chaneli yake ya YouTube ambapo alisema:
"Israeli itafutwa kabla ya Palestina kuwa, na kama unavyojua, ni matakwa yangu na matumaini yangu."wachochezi kama hawa lazima wakabiliwe ipasavyo na ikiwezekana warudishwe kwenye nchi zao za asili!,,