Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Wote Zanzibar na Tanganyika wanapata hasara zaidi kuliko faida kwenye huu muungano.Mnufaika wa muungano ni zanzibar siyo Tanganyika
Wanafiki hawaView attachment 3611178
Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mhandisi Said Salim Hamad, amesema kuwa mtu yeyote anayetoa maneno ya uchonganishi dhidi ya Muungano, mtu huyo anachuki binafsi na atakufa na kuzikwa kwasababu ya chuki hiyo.
Zanzibari hakuna waarabu mtz. Wewee.Matibabu na ajira kwenye mahoteli ni kwa ajili ya waarabu wa Zanzibar tu.
Je tuendee kumuachia Mungu ama tuzinduke?Hata Mungu anaona watanganyika tunanyonywa , ndo mana wanaanza kuchokonoa wenyewe ili tupate sababu ya kuuvunja.
Unajua wanakopa wale deni linakuja kwenye gov ya muungano ndiyo inalipa.Wote Zanzibar na Tanganyika wanapata hasara zaidi kuliko faida kwenye huu muungano.