Pre GE2025 Mbunge Waitara abubujikwa machozi ya huzuni; Asema CCM wanamhujumu jimboni

Pre GE2025 Mbunge Waitara abubujikwa machozi ya huzuni; Asema CCM wanamhujumu jimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ccm hawakutaki humo ndani
Wewe silaha yako kubwa unatumia jina heche heche kuwapoza ccm

Ova
Wahamiaji wenye sifa za kurudi bungeni ni wachache mno. CCM ifanye kuwachuja na kubaki na wenye akili tu. Mbeleko ya mwendazake ishachanika.
 
Kulialia huo utoto hivi kuna mmbunge wa CCM asiehujumiwa kipindi hiki huko jimboni kwake kuelekea uchaguzi.

Mpaka Vita Kawawa analalamika hujuma Namtumbo. Sasa huyu mwenye ukaribu na Nchimbi pamoja na watu wengine wenye nyadhifa za juu kweli kweli huko serikalini analalamika foul jimboni, tushangae Waitara.

Apambane msimu wa gombania goli huu, hiyo sio nafasi ya milele na wengine pia wanatafuta zamu ya kuvuna. Sio kulia lia hakuna wakumuhurumia vita mbinu.

Halafu Waitara sio mgeni CCM amekulia UVCCM kisiasa kashika nafasi za uongozi huko, kwa hivyo utegemei kushangazwa na majungu kipindi hiki ndani ya CCM.
 
Back
Top Bottom