Kulialia huo utoto hivi kuna mmbunge wa CCM asiehujumiwa kipindi hiki huko jimboni kwake kuelekea uchaguzi.
Mpaka Vita Kawawa analalamika hujuma Namtumbo. Sasa huyu mwenye ukaribu na Nchimbi pamoja na watu wengine wenye nyadhifa za juu kweli kweli huko serikalini analalamika foul jimboni, tushangae Waitara.
Apambane msimu wa gombania goli huu, hiyo sio nafasi ya milele na wengine pia wanatafuta zamu ya kuvuna. Sio kulia lia hakuna wakumuhurumia vita mbinu.
Halafu Waitara sio mgeni CCM amekulia UVCCM kisiasa kashika nafasi za uongozi huko, kwa hivyo utegemei kushangazwa na majungu kipindi hiki ndani ya CCM.