Mbunge Waitara amwaga cheche: amtaka Simai kutaja aliyemtuma kwa kauli yake ya "Yuda"

Mbunge Waitara amwaga cheche: amtaka Simai kutaja aliyemtuma kwa kauli yake ya "Yuda"

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,653
Reaction score
31,010
Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono.

Kwa kauli za waZanzibari, wengine mawaziri , za hivi karibuni, sasa Bunge limewaka.

Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanzibar, Simai aliyetoa matamshi kuwa kuna Msaliti Yuda ndani ya Serikali ya Samia, mbunge Waitara amemuonya Simai na kumta amtaje Yuda ni nani, ikiwa ni pamoja na kuwataka wazanzibari waheshimu Muungano.
 
Attachments

  • VID-20260617-WA0012.mp4
    9.9 MB
Alafu akishataja itakuwaje mtamfanya nini wkt ana Kinga ya bunge.
 
Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono.

Kwa ksuli za waZanxibari, wengine mawaxiri , za hivinkaribuni, sasa Bunge limewakaka.

Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanxibar, Simsi slitoa matamshi kuwa kuna Mssliti Yuda ndaninya Sriksli ya Sami, mbunge Wsitara amamuonya Simsi na kumta amtsje Yuda ni nsni, ikiwa ni kutska wazanxibari waheshimunMuungano.
Uwe unahariri basi kabla ya kupost mkuu.
Why unatiririsha madini yenye 'kutu'?
 
NCHI IMEJAWA NA WAPUMBAVU NA WAJINGA.

Kinachotakiwa Kijadiliwe na wawakilishi ni Budget, Yeye anajadili Yuda?

Hivi kuna Jimbo Limemtuma mtu kwenda kujadili Kumsaka Yuda Bungeni???

HAWA WABUNGE WAPUMBAVU NI MZIGO MZITO SANA KWA TANGANYIKA
 
We unaonaje yakhe, ujumbe umefika au vipi?
 
Back
Top Bottom