Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Uwe unahariri basi kabla ya kupost mkuu.Waswahili walisema, ukila na kipofu usimguse mkono.
Kwa ksuli za waZanxibari, wengine mawaxiri , za hivinkaribuni, sasa Bunge limewakaka.
Mbunge Waitara kutoka Mara amemtaka mbunge wa Zanxibar, Simsi slitoa matamshi kuwa kuna Mssliti Yuda ndaninya Sriksli ya Sami, mbunge Wsitara amamuonya Simsi na kumta amtsje Yuda ni nsni, ikiwa ni kutska wazanxibari waheshimunMuungano.
We unaonaje yakhe, ujumbe umefika au vipi?NCHI IMEJAWA NA WAPUMBAVU NA WAJINGA.
Kinachotakiwa Kijadiliwe na wawakilishi ni Budget, Yeye anajadili Yuda?
Hivi kuna Jimbo Limemtuma mtu kwenda kujadili Kumsaka Yuda Bungeni???
HAWA WABUNGE WAPUMBAVU NI MZIGO MZITO SANA KWA TANGANYIKA
NdioKwa hio Simai amesema Yuda ni Waitara au sijaelewa?