DMDP imelisahau Jimbo la KIBAMBA haswa barabara ya kuelekea shule za sekondari Hondogo A na B, wanafunzi wetu na wananchi wa maeneo hayo wanapata taabu sana.
TARURA Wilaya ya Ubungo wamelala, waamke wazikarabati barabara za eneo hilo nililo litaja
Ni vyema TARURA wakijielekeza kwenye hizi barabara za pembezoni