Hivi kweli hapa inabidi uwelewa zaidi unataka watu waliotegesha walipwe na unaona ni haki!?
Unataka watu watumie eneo nyeti la asili LENYE vyanzo vya wanyama bila kutafakali MATOKEO ya kuvamia HIFADHI za Taifa!?
Hata hivyo nchi hii Kuna kitu cha kujifunza tunawashangaa wale wa NCHI jirani kwamba wamekuwa brain washed lakini tunasahau kwetu kunaungua mno.
Mgodi wa North Mara ni SHAMBA la Bibi la Wakurya kuanzia watumishi wa Ngazi mbalimbali wa Mgodi,majirani mpaka WAGENI Kutoka Nje ya NCHI kama ni uhujumu uchumi wa kiwango cha lami upo pale na ndiyo maana Leo Mategesha yapo pale na WAHUSIKA Wakuu wa Mategesha ni aibu tupo.
Hiyo BIASHARA ya uchimbaji asilimia 90 ni Wizi na ubadhilifu katika kila eneo la mgodi tatizo hatuna chombo mahususi cha kupambana na uhujumu uchumi wa ENEO HILI