Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Waitara anajihisi hatia ndani ya moyo wake, anajitaidi sana ili apate kukubalika ndani ya chama lakini wapi.Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara "!
Hata aliko huko kaburini analijua. Cha ajabu hata walio hai,wanamsupport na hawaogopi. Uchaguzi wa 2020, 10% ya wabunge walioko,ndiyo walichaguliwa kihalali. Hilo hata viongozi wa juu wanalijua!!.Kwanza hili Bunge wabunge wenyewe ni wa mchongo hivyo hatushangai.
Magu katuharibia sana hii nchi kwa kuua taasisi muhimu kama Bunge.
Analia shida nini, michango ya misiba haitoshi?
Huyo ni mpumbavu kama sura yake.Hatufanyi mambo kwa kukomoana.Tufanye mambo kwa maslahi ya taifa kwa leo na keshokutwa.Lijinga hilo limwalimu kihiyo.Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!
Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
Na mwenyekiti wao naye hupeleka mipasho majukwaani huku akishangiliwa na wale watoto wa uhamasishaji.Waitara ndie anayethibitisha kwa vitendo lile bunge halina maana.
Mwanaume halafu unapeleka mipasho bungeni huku ukishangiliwa na wanawake, sijui nilie...
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ukiwa CCM akili zinatoweka kabisa unakuwa kichaaKwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!
Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
si ndio Demokrasia ilivyo ndrugu zango,Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!
Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
Linajipendekeza ili kwenye kura za maoni lisiliwe kichwa!Huyo ni mpumbavu kama sura yake.Hatufanyi mambo kwa kukomoana.Tufanye mambo kwa maslahi ya taifa kwa leo na keshokutwa.Lijinga hilo limwalimu kihiyo.
Anataka eti hata akikosa ubunge aweze kufikiriwa kwenye teuzi nyingine.Waitara anajihisi hatia ndani ya moyo wake, anajitaidi sana ili apate kukubalika ndani ya chama lakini wapi.
Waitara tumia vizuri mafao yako maana nina uhakika hautatoboa ktk uchaguzi ujao maana hauna faida yoyote kwa chama chako, jimbo lako na nchi kwa ujumla
Kwenye kikao cha bunge cha Februari 1, 2024, mbunge nyangarakasha Mwita Waitara alitamba bungeni mbele ya wabunge wenzake waliokuwa wakimshangilia kuwa wabunge wa CCM watatumia wingi wao kuipitisha miswada ya uchaguzi!
Swali, Tanzania ni mali ya nani, wabunge wengi wa CCM au wachache wananchi? Je, CCM bado inaendelea na "hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni CCM"!
Huyo ni mjingaWaitara ndie anayethibitisha kwa vitendo lile bunge halina maana.
Mwanaume halafu unapeleka mipasho bungeni huku ukishangiliwa na wanawake, sijui nilie...
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app