Mbunge: Wanywaji wa Pombe wanapiga kelele kwenye Treni ya SGR, Waziri kaa kitako na wenzio

Hakuna tofauti ya hao walevi na hicho kikao cha wanaccm kwenye kumbi za bunge.

Mimi sioni cha maana wanachojadili zaidi ya kugonga meza na kumsifia mama maana kila mtu anamtaja huyo utadhani hawana mama zao.

Hakuna mchango wowote wa maana ndio maana hata sarakasi zinapigwa kwenye kumbi za bunge hivyo wao nao wanapiga kelele kama walevi tu na ndio maana hilo linaoitwa bunge wakati ni kikao cha ccm kimepuuzwa.
 
MATKTK YA MACCM
 
bunge limejaaa vilazaaaaa


Vilazaaaqaq

Useless bunge

Ova
 
Mwantumu anakuwa mbunge? Hii nchi bado sana...
Matatizo yooote tuliyonayo yeye anaona kelele ndoshida
 
Kama kweli wakinywa wanapiga kelele inabidi wadhibitiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…