Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Mswahili anataka taraabu kwenye SGRApande ndege kisha Mashua la kuelekea Kizimkazi, tusiharibiane starehe hapa bara!!
Mswahili anataka taraabu kwenye SGRApande ndege kisha Mashua la kuelekea Kizimkazi, tusiharibiane starehe hapa bara!!
mama samia mrudishe Kadogosa SGR, sasa hivi dar dodoma masaa nane kimsingi imekuwa barabara ya vumbi daviation kibao, sgr nako ticket hakuna, treni imeegeshwa, kha mama mrudishe kadogosa huo ubunge simpe tu hata waheshimaMbunge wa Viti Maalum, Mwantumu Haji amesema baadhi ya abiria wa treni ya SGR wanapiga kelele baada ya kutumia vilevi.
Pia soma - KERO - SGR yaanza kupoteza Ustaarabu, inaruhusu watu kulewa ndani ya treni na kusababisha kero kwa wengine
Mkuu, hivi viti ilipendekezwa visiwepo, kwenye Katiba ya Wananchi, iliyo ratibiwa na Kamati ya Mzee Warioba, bali wamama washindane wao kwa wao kwenye Majimbo ya Uchaguzi. Kwa kufanya hivyo kungeondoa ile dhana ya kupendeleana, rushwa za jinsia ndani ya Vyama vya Siasa.Hafu mtu mwenyewe viti maalumu