Mbunge: Wanywaji wa Pombe wanapiga kelele kwenye Treni ya SGR, Waziri kaa kitako na wenzio

Shenzi kabisa na tuna mpango behewa moja tuwalete wale wa uwanja wa fisi au wahaya tupishane humo humo kwenye mabehewa
 
Picha linaanza bungeni kuna spika rango yeye kila jambo ni kucheka utazani mpenzi pornHub na muvi ya mjomba wake rango
 
mama samia mrudishe Kadogosa SGR, sasa hivi dar dodoma masaa nane kimsingi imekuwa barabara ya vumbi daviation kibao, sgr nako ticket hakuna, treni imeegeshwa, kha mama mrudishe kadogosa huo ubunge simpe tu hata waheshima
 
kha hawa akina hajjad wapewe behewa lao liandikwe hallal, nasie walevi hebu mtuwekee buffet, mtuwekee na kangamoko kabisa
 
Hafu mtu mwenyewe viti maalumu
Mkuu, hivi viti ilipendekezwa visiwepo, kwenye Katiba ya Wananchi, iliyo ratibiwa na Kamati ya Mzee Warioba, bali wamama washindane wao kwa wao kwenye Majimbo ya Uchaguzi. Kwa kufanya hivyo kungeondoa ile dhana ya kupendeleana, rushwa za jinsia ndani ya Vyama vya Siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…