Mbunge wetu Segerea chenga sana, yaani mpaka afiwe ndo tuchongewe barabara!

Mbunge wetu Segerea chenga sana, yaani mpaka afiwe ndo tuchongewe barabara!

Joined
Nov 19, 2024
Posts
94
Reaction score
307
Salama wananzengo,

Kwa sisi wakazi wa Segerea kata ya Bonyokwa kunapitia adha kubwa sana ya miundombinu ya barabara inayoelekea Kanisa Katoliki na kwa mbunge wetu Bonnah Kamoli.

Hii barabara ni mbaya kuanzia Bonyokwa Stand mpaka geti la Kanisa katoliki, kwa wenye magari ya chini wanapata tabu sana.

Sasa bhana, mbunge wetu jana kafiwa na Baba mdogo, nadhani kuepuka aibu kwa watakaokuja kwenye msiba, hii barabara kijiko kimepita na kusawazisha ili waheshimiwa wapite kwa raha. Siku akifiwa na mzazi nadhani itapigwa lami kabisa.

2.jpg
3.jpg
B1.jpg
 
Back
Top Bottom