Da Dona
JF-Expert Member
- Dec 16, 2025
- 1,220
- 672
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mawokota Kusini Yusuf Nsibambi kutokea chama cha Forum for Democratic Change, amekata umeme kwenye sehemu ya jimbo lake baada ya kupoteza nafasi yake kwenye Uchaguzi uliofanyika Januari 2026 kwa mgombea kutokea chama cha NRM, Suzan Nakawuki.
Nsibambi, ambaye aliongoza jimbo hilo kwa awamu mbili kuanzia 2016 hadi 2026 alijenga miundombinu ya umeme katika kijiji cha Buyaaya, wilayani Mpigi ikiwemo taa za barabarani na transfoma kwa kutumia fedha zake binafsi
Akizungumzia kuhusu uamuzi huo Nsibambi alisema “Wacha wabaki gizani na waiombe hiyo serikali umeme. Huu nilioukata wangu, niliulipia mimi, siwajibiki kwao tena. Kazi ya Mbunge ni kutunga sheria na kupitisha bajeti, si kutoa umeme. Wangekuwa wanathamini yale niliyoyafanya kwao kama mtu binafsi, wangenipigia kura tena”
=================================
Residents of Buyaaya village in Mawokota South Constituency have accused their Member of Parliament Yusuf Nsibambi of deliberately disconnecting electricity from the community following his defeat in the January 15 parliamentary elections.
The blackout, which left homes and businesses without power for several days, occurred shortly after voters elected Suzan Nakawuki of the ruling NRM party to represent the constituency.
Nsibambi, a long-serving FDC legislator who had held the seat for two terms, had previously installed electricity infrastructure, including street lights and a transformer, in the area using personal funds.
Mr Nsibambi told the Nile Post he has no legal or moral obligation to continue supplying electricity to the community.
"I no longer have any obligation to those people. That electricity is not government property," he said. "I paid for it with my own money. Am I the government? What do they expect from me?"
He added that he is free to remove the street lights he had installed.
"The work of a Member of Parliament is to make laws and pass the national budget, not to provide electricity," Nsibambi said.
"If they appreciated what I did for them as an individual, they would have voted me back. Let them remain in darkness and ask government for their own electricity. This one is mine; I paid for it."
Source: Nile Post