Mbunge Zainab apiga lugha tofauti Bungeni aomba atafsiri

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.

Una maoni gani?

Mkuu tutatoa maoni gani bila kutuwekea alichozungumza Zainab?
 
mkiambiwa kwamba tunatawaliwa na islamist jihadist mnasema sijui udini, haya sasa kila siku wanazidi kujivua mask, USA ana infos zote khs islamization of our land na ndiyo maana ma-senator wa USA wameongea walivyoongea.
somalis are uncivilized animals ...
 
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.

Una maoni gani?

Mke wa Aweso huyo. Unaambiwa Aweso na yule DPP wa zamani enz za JK walipigana sana kumgombania. Aweso akaibuka mshindi. Ex DPP Alilia sana hadi akalazwa.
 
Hizi nchi za Africa bila janja janja huwezi kupenya, hapo unaweza kushangaa baada ya siku kadhaa analamba teuzi. Sasa wewe unaanzaje kumsifia mtu kwa lugha ambayo huenda yeye mwenyewe haijui? Si ingetosha tu kuongea kingereza? Haya bwana wameshakuona unajua lugha nyingi.
 
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.

Una maoni gani?

Kwa hiyo mtu akiongea Português au Español akasema amelenga international audience wabunge watatulia tu na kuomba tafsiri and that will be final au ndiyo taratibu tunafahamishwa kuwa tuko chini ya utawala wa Waarabu?
 
Kuna watu wanapenda mabonge hivyo😁
Ndio mkuu. Sasa wewe hao mambaumbau madem zake zitto junior ndio wazuri? 😅😆🤣😂
Screenshot_20260416_175331_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom