Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mkuu tutatoa maoni gani bila kutuwekea alichozungumza Zainab?Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.
Una maoni gani?
Mke wa Aweso huyo. Unaambiwa Aweso na yule DPP wa zamani enz za JK walipigana sana kumgombania. Aweso akaibuka mshindi. Ex DPP Alilia sana hadi akalazwa.Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.
Una maoni gani?
Alilia hadi akalazwa?Huyo ni wa kuchabangwa makofi mchanganyiko na fimbo nyingi za shingo.Mke wa Aweso huyo. Unaambiwa Aweso na yule DPP wa zamani enz za JK walipigana sana kumgombania. Aweso akaibuka mshindi. Ex DPP Alilia sana hadi akalazwa.
Kwa kipi haswaa mbona wa kawaida mnoo. Kweli CCM wana laanaMke wa Aweso huyo. Unaambiwa Aweso na yule DPP wa zamani enz za JK walipigana sana kumgombania. Aweso akaibuka mshindi. Ex DPP Alilia sana hadi akalazwa.
Kwa hiyo mtu akiongea Português au Español akasema amelenga international audience wabunge watatulia tu na kuomba tafsiri and that will be final au ndiyo taratibu tunafahamishwa kuwa tuko chini ya utawala wa Waarabu?Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.
Una maoni gani?
Huyo ni super kenge, chawa pro max!Mbunge wa Viti Maalum (Vijana) Mhe Zainab Abdallah wakati akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu alitumia lugha ambayo liwaacha Wabunge njia panda na kuomba muongozo ili aeleza maana ya maneno yake.
Una maoni gani?
Kuna watu wanapenda mabonge hivyo😁Kwa kipi haswaa mbona wa kawaida mnoo. Kweli CCM wana laana
Ndio mkuu. Sasa wewe hao mambaumbau madem zake zitto junior ndio wazuri? 😅😆🤣😂Kuna watu wanapenda mabonge hivyo😁