Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

Mbunge Zaytun Swai Akagua Miradi ya Maendeleo Karatu

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Karatu, Mhe. Daniel Awack akiambatana na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Swai wakiwa katika Ukaguzi wa mradi wa scheme ya umwagiliaji bonde na Eyasi uliotengewa fedha kiasi cha Tsh bil 38.

Mbunge Zaytun Swai ametoa Shukurani kwa Serikali ya awamu ya 6 chini ya Mheshimiwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuweka mkazo kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kuongeza tija kwenye kilimo.

Aidha, Mhe. Zaytun Swai amesema kwa upande wa Madarasa ya Mama Samia Suluhu Hassan, wananchi wanafurahia na kushukuru sana na kusema kuwa Tuwahimize wananchi wetu watumie fursa hii kuwapeleka watoto wetu Shule.Elimu Bure, Elimu ya uhakika!
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2023-07-31 at 05.34.10.mp4
    33.8 MB
  • WhatsApp Image 2023-07-31 at 11.38.03.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-31 at 11.38.03.jpeg
    95.7 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24.jpeg
    85.9 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24(1).jpeg
    180 KB · Views: 5
  • WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24(2).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-31 at 12.28.24(2).jpeg
    120.2 KB · Views: 5
Back
Top Bottom