Mbungi na Mbamba

Mbungi na Mbamba

Vikintu

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2021
Posts
2,051
Reaction score
3,162
Wakuu, maneno hayo hutumiwa sana na vituo vya TBC na Azam TV mtawalia.

Naomba mnielimishe, yana maana gani?

Binafsi nakereka kuona yakitumiwa sana na watangazaji wa TV hizo huku maana yake ikiwa haijulikana.
 
Back
Top Bottom