Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, Mikhail Timofeyevich Kalashnikov

Good.. uliza kwanini silaha hii nchi zote duniani na hata wspinzani NATO wanazo nyingi wakizitumia katika drills.. sio hivyo tu Israel wameomba kibali na wanatengeneza( Ak ) but not 47 coz hiyo 47 ni version tu..
Notes.. Warusi wameshahama kutoka ak 47 kwenda version nyingine za AK..
Fuatilia kupata uhakika .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. I

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…