TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

Hivi karibuni tuliona maboresho ya mtaala wetu wa elimu na huko kukapendekezwa somo jipya la historia ya Tanzania

Sasa kabla hutaaanza sarakasi zozozte zile juu ya mambo ya Tanu mpaka kuja huko kuzaliwa kwa ccm

Nikependekeza historia ya huyu bwana iwe peji za kwanza kabisa na imuelezee vizuri juu ya mchango wake huu isiishie tu kusema sijui Tanzania ni jina lilitokana na muungano wa Tanganyika na zanzibar bali iseme na maana za herufi I , A kama ilivyodadavuliwa na muhusika wa jina hili la" Tanzania " bwana Dar

Lakin iiende mbali zaidi kuonesha hata kiasi alichopewa ili kuwapa motisha vijana wetu wengine watakao tutungia majina mengine ya viwanja vya michezo ,, majina ya vituo vya mabasi nk maana huu ndiyo uzalendo wenyewe
 
H.H Aghakan kwa sasa inaitwa Morogoro Secondary👃👃
 
Kumbe hata jina tumetungiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inawezekana kuna watu muhimu sana katika inchi hii walipuuzwa na tukabaki tunamsifia mtu mmoja tu, aliyetaka yeye asifiwe kwa kila kitu
 
Wazee wa zamani waliopata bahati ya kwenda majuu wengi walilowea hawakurudi.
RIP mzee wetu, Tz ni jina zuri sana shida tu ni kua nchi yetu bado haitambuliki kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…