Mbunifu wa majengo Marcus Aurelius ameweza kuweka picha na matukio ya Jeshi la Roma

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1635730981378.png
 
Dada kwa picha wewe hujambo alafu za kihenga tupu si ndo ulituonyesha picha ya muoka mikate wa meli ya titanic wewe🤣🤣🤣
 
Aisee una nyuzi nzuri Sana kila nikizisoma humu naenda wikpedia kujinoa zaidi.
 
Kama hii ni kweli nguzo ya Marcus Aurelius, huyu hakuwa mbunifu mejango. Alikuwa Kaizari wa Dola la Roma, na nguzo inaónyesha ushindi wake juu ya makabila ya Wagermanik hast Wamarkomanni. Ni ajabu kidogo nguzo hiyo iliyojengwa kabla ya mwaka 200 BK, bade inasimama. Nani yake kuna nafasi ya ngazi inayoruhusu kupanda juu.
 
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom