Mbuta Nanga amfunda Rihanna

Hahahahaha nimechekaaaa hilo surumbwete (mchupi) wake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
hata kama nimekasirika,nikiangalia picha za mbuta nanga huwa nacheka

Me nlivyoon thread ina jina lake nikakumbuka hiyo milonjo yake, yani nimefungua thread huku natabasamu.
Anazeeka vibaya huyu mwanamke.
 
Alafu lile wigi lake la brown halibadilishi kabsa! Hahah kila picha yuko nalo
 
Huyu itabidi tuseme akizeeka ataacha maana mnh!
Nawaonea huruma wazazi wake
 
Ila kwa sisi watumiaji wa simu unapoquote thread kubwa hivo inaboa sana
Tatizo simu yako 2 stroke lazima uchanganye na oil mafuta,nunua simu piston 8 internet 4G hizo kero hutapata.
 
Tatizo simu yako 2 stroke lazima uchanganye na oil mafuta,nunua simu piston 8 internet 4G hizo kero hutapata.
siyo simu tu hata kwa computer inaboa,habari kubwa unai-quote kwa kuandika maneno manne,habari nimeisoma halafu unaquote unaileta tena chini,hujielewi kama unaona ndo ujanja
 
siyo simu tu hata kwa computer inaboa,habari kubwa unai-quote kwa kuandika maneno manne,habari nimeisoma halafu unaquote unaileta tena chini,hujielewi kama unaona ndo ujanja
Sio ujanja ulitaka nifanye unavyotaka wewe?
 
Flora Lymo Haishiwi Vituko haya Kapost hiyo kwenye Mtandao wake na Kusema Haya "NAUGHTY OR NICE? KANTANGAZEEEEEEEEEEEEEEE''....
 
kuna uzi humu unasema hiyo picha alimnanga Rihanna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…