Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama nimekasirika,nikiangalia picha za mbuta nanga huwa nacheka
Ulitaka nibakize kdg wakati yote takataka?we nae ndio nini ku quote thread yote
Yaan tumiguu ni kama tu virungu twa kupigia ngoma
View attachment 151341
Sasa mbona pichu imeloa tena hapo chini ya neno nice...Au macho yangu yashazidiwa na uzee.

wacha.g.a banah hawaish vituko!
watu mna macho aiseeView attachment 151341
Sasa mbona pichu imeloa tena hapo chini ya neno nice...Au macho yangu yashazidiwa na uzee.
Ulitaka nibakize kdg wakati yote takataka?
Tatizo simu yako 2 stroke lazima uchanganye na oil mafuta,nunua simu piston 8 internet 4G hizo kero hutapata.Ila kwa sisi watumiaji wa simu unapoquote thread kubwa hivo inaboa sana
siyo simu tu hata kwa computer inaboa,habari kubwa unai-quote kwa kuandika maneno manne,habari nimeisoma halafu unaquote unaileta tena chini,hujielewi kama unaona ndo ujanjaTatizo simu yako 2 stroke lazima uchanganye na oil mafuta,nunua simu piston 8 internet 4G hizo kero hutapata.
Sio ujanja ulitaka nifanye unavyotaka wewe?siyo simu tu hata kwa computer inaboa,habari kubwa unai-quote kwa kuandika maneno manne,habari nimeisoma halafu unaquote unaileta tena chini,hujielewi kama unaona ndo ujanja