Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,448
Huyu bibie wa kichaga mtanzania aishie London haishiwi vituko kila kukicha..ukikumbuka vizuri ndiye huyu mwenye sakata na G.J.Lema..
Leo kaachia kituko kwenye blog yake kilicho nifanya nianguke mbavu kwa kumcharula Rihanna!
From left Flora Lyimo in her Flora Lyimo how to look sexy at home and Rihanna arrived with her robe to MTV Movie Awards Jana'' Yani next time she just have to wear chupi peke yake and you know what soon tutaanza kuwaona wengi in Flora Lyimo How to look sexy at home'' ,Mwanamke full kujiamini na kufanya yake'hasa anapofanya yake akiyasaka manoti'Kikazi zaidi'' Mbuta Nanga''

Ready for bed? Rihanna stepped out in a satin white robe and matching playsuit at the MTV Video Awards at the Nokia Theatre in Los Angeles on Sunday night'
She may have been set for a wild night out partying, but Rihanna looked more dressed for bed as she stepped out at the MTV Movie Awards on Sunday night.Yani sasa Flora Lyimo anasema watu mvae hivi at home ila wengine kama Dada yetu hapa Rihanna asieogopa kitu na mwenye kuwapa mapaparazi posho kwa kuwapa mapozi yanguvu ili wapate picha za kishua za kuuza na kujipatia posho zao kwa njia ya urahisi ni nomaa''I love her for that ''siyo kama wale star wengine huringa kupigwa picha kwasababu wanajua paparazi watapata za kuuza '' well done Riiriiii''' Fanya yako''Team Flora Lyimo how to look sexy at home''mbuta nanga!
The 26-year-old hitmaker sported a long white satin robe over a plunging playsuit which showed off her toned legs.
Rihanna arrived with the slinky robe wrapped around herself but then cheekily opened it to reveal her ample cleavage for the bank of photographer
HAPO CHACHA

akamalizia na hii!..LOL..KANTANGAZEEEEEEEE!