Teh teh mbuta nanga ana vituko sana
duh haTERS wengi sana..kha. mbutananga is sexy acheni ubishi
Anafanana na wale jamaa wa mieleka!nimecheka hadi mbavu zinauma!idumu jf!i
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Zee la kuuza K. Ni mbaya miguu kama ya mpanda milima viazi vitupu.
ana sura kama kapoteza nauli!
Huyo dada hiyo miguu anabeba vyuma au, maana mkao wenyewe kama anataka kupaa.
ana sura kama kapoteza nauli!
hahahahaha hivi aliepoteza nauli yupoje
Vinamfaa nini zaidi ya udhalili? Wako wenye sura nzuri na maumbile yanayolipa, na waliokuwa na vituko kuliko vya kwake na leo hii hawasikiki popote ktk uso wa ardhi; sembuse yeye ambaye karibu kila mtu analaani umbile lake?
Inabidi atambue kuwa ktk dunia hii hakuna jambo lolote jipya analoweza kuanzisha mtu na likawa halijawahi kutokea. Asiangalie hapo alipo sasa bali atafakari mwisho wake.
Asisahau kwamba dunia ni tambara bovu, ukiling'ang'ania kwa nguvu huchanika; na umaarufu nao ni mfano wa kufumbata mchanga kwenye kiganja cha mkono, unavyoushika kwa nguvu zaidi ndivyo unavyotoka zaidi kupitia katikati ya vidole! Hizo ni methali za wahenga!

Mimi nashangaa sana Lemutuz unavyojibizana nae! Mi kwa kweli naona mwanaume unatakiwa unyamaze tu! Coz ukijibizana nae unaonekana nawe kama yeye tu
- Well kila ninapompa maneno anakasirika sana na kuandika matusi zaidi maana yake ni kwamba ninamgusa kwenye udhaifu wake ambao hakuna binadam yoyote mwenye uwezo wa kuambiwa zaidi yangu, wapo binadam kama wewe mnaoona ni bora kunyamza na kumcheka pembeni kuliko kumjibu na kumwambia, Mungu amemuumba binadam kwamba anapofanya ujinga ukimwambia hata kama anatukana matusi zaidi lakini akikaa mwenyewe yanamgusa sana,
- Hivi majuzi alinitumia ujumbe kwa mtu kwamba ati ananipenda sana na anaota mimi kumuoa ndio maana ananitukana I was like no way huo ni uchuro U know, nikaenda Kanisani siku hiyo kumuomba Mungu aniepushie hilo kombe. Ni muhimu sana akajibiwa na kuelezwa kwa hoja sio ujinga ujinga kwamba yupo nje ya mstari kumwambia hivyo sio kuwa sawa naye hapana ni kujairbu kumasaidia!!
LE Mutuz
Duuu kaka WILL mi nakuelewa sana I wish watu wote tukuelewe hakika tutafika mbali jamani kaka yetu katoa somo pana wanasema mwenye macho haambiwi TAZAMA.- Huwa ninafanya hivyo ninapobidi tu lakini sio wakati wote maana huwa sina sababu on this one nilikuwa na sababu tu, thanks bro!!, Ulaya haikutengenzwa kwa Darasa la Saba ku-survive no way!!
Le Mutuz