Mbuta Nanga ni balaa

Mbuta Nanga ni balaa

Mimi nashangaa sana Lemutuz unavyojibizana nae! Mi kwa kweli naona mwanaume unatakiwa unyamaze tu! Coz ukijibizana nae unaonekana nawe kama yeye tu

Naombaimjibie hili mi nilivyomsoma LE bilionea ni kamakumpa ushauri kwamba kupitia yeye watajifunza mana watoto wengi wa shule hawachelewi si wataona ni jambo la kawaida.JAMANI TUKEMEE KWA PAMOJA MANI NI ZAIDI YA PEPO MCHAFU!!
 
Naelewa kabisa! Ila nisiyoelewa mie ni vile vijembe wanavyorushiana! Nahisi kama mukubwa le mtz anajishushia heshima! Coz yule dada tunaelewa kashashindikana! Kimya ni dawa tosha ya mjinga
 
Hahahaha Le Mutuz wewe ni balaa, yani kupendwa tu na mbuta nanga ukaenda kanisani kukemea kabisa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hapo lazima ukaombe kanisani mana ni balaa kubwa huyu dada hana utu,heshima,hajitambui,hajielewi so mwanaume wa kumuoa uwe na moyo wa chuma.
 
Mbona Flaviana hamjamshupalia au sababu anachangia madawati
 
Naelewa kabisa! Ila nisiyoelewa mie ni vile vijembe wanavyorushiana! Nahisi kama mukubwa le mtz anajishushia heshima! Coz yule dada tunaelewa kashashindikana! Kimya ni dawa tosha ya mjinga

kwa heshima gani haswa?
 
Hapo lazima ukaombe kanisani mana ni balaa kubwa huyu dada hana utu,heshima,hajitambui,hajielewi so mwanaume wa kumuoa uwe na moyo wa chuma.

Sasa si ndo inabidi tumuombee jamani abadilike, angalau arudishe utu na heshima yake. Tusiwe watu wakumlaumu sana inawezekana ana matatizo yule

Sasa Le Mutuz kaenda kukemea kanisani kupendwa na mbuta nanga kushindwe katika jina la Yesu hahaha, nimecheka sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
- Well kila ninapompa maneno anakasirika sana na kuandika matusi zaidi maana yake ni kwamba ninamgusa kwenye udhaifu wake ambao hakuna binadam yoyote mwenye uwezo wa kuambiwa zaidi yangu, wapo binadam kama wewe mnaoona ni bora kunyamza na kumcheka pembeni kuliko kumjibu na kumwambia, Mungu amemuumba binadam kwamba anapofanya ujinga ukimwambia hata kama anatukana matusi zaidi lakini akikaa mwenyewe yanamgusa sana,

- Hivi majuzi alinitumia ujumbe kwa mtu kwamba ati ananipenda sana na anaota mimi kumuoa ndio maana ananitukana I was like no way huo ni uchuro U know, nikaenda Kanisani siku hiyo kumuomba Mungu aniepushie hilo kombe. Ni muhimu sana akajibiwa na kuelezwa kwa hoja sio ujinga ujinga kwamba yupo nje ya mstari kumwambia hivyo sio kuwa sawa naye hapana ni kujairbu kumasaidia!!

LE Mutuz
Hahaha Le Mutuz bana....
 
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA.

Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna marafiki zake pia wamshauri jambo.

Ni jana tu ilipata wasaa wa kuangalia BLOG YAKE jamani hata kama ni BIASHARA DADA yangu that is too much...unakaa utupu kwa jili eti ya kutangaza nguo za ndani tu? au umeamua kutudhalilisha wanawake wenzako kwa kisingizio cha pesa? SIDHANI kama kweli iyo ndo sababu mananawajua mastaa wengi tu wanaotangaza biashara zao wakiwa wamevaa kawaida na bado wakafanikisha mawazo yao.

NIMEAMUA kutumia Jf ILI iwe ahisi hata kwa wengie kumshauri maa hata ningesema nimshaui kupitia BLOG YAKE kwa jinsi NILIVYOMSOMA huenda ana tatizo kubwa....sasa hapa tuna madaktai washaui mabalimbali wanaweza wakamshauri a tatizo ni kudhalilishana mitandaoni kwa kutumia JINA mtanzania....hata kama ni biashara imezidi..yaani ni zaidi ya mtu aliyepata UCHIZI.

Punguza au vaa kawaida na bado utauza na tena utapata wateja wa aina zote.

Sijaona mwanamke wa kichaga mwenye tabia kama za huyo dada. Anatuaibisha sana
 
Sasa si ndo inabidi tumuombee jamani abadilike, angalau arudishe utu na heshima yake. Tusiwe watu wakumlaumu sana inawezekana ana matatizo yule

Sasa Le Mutuz kaenda kukemea kanisani kupendwa na mbuta nanga kushindwe katika jina la Yesu hahaha, nimecheka sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Maombi ni muhimu umri wake c wakufanya hayo madudu istoshe le mutuz kasema ni std 7,mzungu kakimbia baada y kuona kaoa chizi fresh.hivyo vyupi anauza au vyake m ana vyote saizicmoja
 
Maombi ni muhimu umri wake c wakufanya hayo madudu istoshe le mutuz kasema ni std 7,mzungu kakimbia baada y kuona kaoa chizi fresh.hivyo vyupi anauza au vyake m ana vyote saizicmoja

Vyupi anauza bana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahaha embu muache bana mbuta nanga wa watu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Huyo arudi 2 aje auze hta mbege wakti mda bdo kuliko kuishia nyumba za wazee,umri nao ndio huo mana hakosi 45 au zaidi
 
Huyo arudi 2 aje auze hta mbege wakti mda bdo kuliko kuishia nyumba za wazee,umri nao ndio huo mana hakosi 45 au zaidi
Ana miaka 40 now, apart from vyupi nahisi ana duka lake, kuna siku alihojiwa kwenye mboni show alikuwa dukani kwake

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mhhhh mbna le mutuz anasema anaishi n kwa gharama ya serikali au

Kwa hilo me sina uhakika, but duka analo na hata huwa ana huduma inaitwa mkopo express kama sikosei. Hata ukiingia kwenye blog yake nahisi utaona baadhi ya vitu anavyouza dukani kwake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom