Mimi nashangaa sana Lemutuz unavyojibizana nae! Mi kwa kweli naona mwanaume unatakiwa unyamaze tu! Coz ukijibizana nae unaonekana nawe kama yeye tu
Hahahaha Le Mutuz wewe ni balaa, yani kupendwa tu na mbuta nanga ukaenda kanisani kukemea kabisa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mbona Flaviana hamjamshupalia au sababu anachangia madawati
Naelewa kabisa! Ila nisiyoelewa mie ni vile vijembe wanavyorushiana! Nahisi kama mukubwa le mtz anajishushia heshima! Coz yule dada tunaelewa kashashindikana! Kimya ni dawa tosha ya mjinga
Hapo lazima ukaombe kanisani mana ni balaa kubwa huyu dada hana utu,heshima,hajitambui,hajielewi so mwanaume wa kumuoa uwe na moyo wa chuma.
Culture shockHuyu dada ni wagonjwa kabisa labda akamatwe na kutibiwa kwa nguvu!
Ushauri wa maneno ni kupoteza muda.
huyo dada mvaa michupi oversize siyo
Hahaha Le Mutuz bana....- Well kila ninapompa maneno anakasirika sana na kuandika matusi zaidi maana yake ni kwamba ninamgusa kwenye udhaifu wake ambao hakuna binadam yoyote mwenye uwezo wa kuambiwa zaidi yangu, wapo binadam kama wewe mnaoona ni bora kunyamza na kumcheka pembeni kuliko kumjibu na kumwambia, Mungu amemuumba binadam kwamba anapofanya ujinga ukimwambia hata kama anatukana matusi zaidi lakini akikaa mwenyewe yanamgusa sana,
- Hivi majuzi alinitumia ujumbe kwa mtu kwamba ati ananipenda sana na anaota mimi kumuoa ndio maana ananitukana I was like no way huo ni uchuro U know, nikaenda Kanisani siku hiyo kumuomba Mungu aniepushie hilo kombe. Ni muhimu sana akajibiwa na kuelezwa kwa hoja sio ujinga ujinga kwamba yupo nje ya mstari kumwambia hivyo sio kuwa sawa naye hapana ni kujairbu kumasaidia!!
LE Mutuz
MBUTA Nanga ni a.k.a ya mwanadada FROLA LYIMO aishie UINGEREZA akiwa MTANZANIA.
Nimeshawishika kuandika mada hii kwa kujua fika nae ni mmoja wa member hapa pengineanaweza akasoma au kama kuna marafiki zake pia wamshauri jambo.
Ni jana tu ilipata wasaa wa kuangalia BLOG YAKE jamani hata kama ni BIASHARA DADA yangu that is too much...unakaa utupu kwa jili eti ya kutangaza nguo za ndani tu? au umeamua kutudhalilisha wanawake wenzako kwa kisingizio cha pesa? SIDHANI kama kweli iyo ndo sababu mananawajua mastaa wengi tu wanaotangaza biashara zao wakiwa wamevaa kawaida na bado wakafanikisha mawazo yao.
NIMEAMUA kutumia Jf ILI iwe ahisi hata kwa wengie kumshauri maa hata ningesema nimshaui kupitia BLOG YAKE kwa jinsi NILIVYOMSOMA huenda ana tatizo kubwa....sasa hapa tuna madaktai washaui mabalimbali wanaweza wakamshauri a tatizo ni kudhalilishana mitandaoni kwa kutumia JINA mtanzania....hata kama ni biashara imezidi..yaani ni zaidi ya mtu aliyepata UCHIZI.
Punguza au vaa kawaida na bado utauza na tena utapata wateja wa aina zote.
Sasa si ndo inabidi tumuombee jamani abadilike, angalau arudishe utu na heshima yake. Tusiwe watu wakumlaumu sana inawezekana ana matatizo yule
Sasa Le Mutuz kaenda kukemea kanisani kupendwa na mbuta nanga kushindwe katika jina la Yesu hahaha, nimecheka sana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Maombi ni muhimu umri wake c wakufanya hayo madudu istoshe le mutuz kasema ni std 7,mzungu kakimbia baada y kuona kaoa chizi fresh.hivyo vyupi anauza au vyake m ana vyote saizicmoja
Vyupi anauza bana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mhhhh hvyo vyupi kma vya kuchezea mieleka au vigodoro
Hahahaha embu muache bana mbuta nanga wa watu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ana miaka 40 now, apart from vyupi nahisi ana duka lake, kuna siku alihojiwa kwenye mboni show alikuwa dukani kwakeHuyo arudi 2 aje auze hta mbege wakti mda bdo kuliko kuishia nyumba za wazee,umri nao ndio huo mana hakosi 45 au zaidi
Mhhhh mbna le mutuz anasema anaishi n kwa gharama ya serikali au