Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Mbutananga: a sad story to tell kimahusiano

Hii story nilikua naitafuta sana nijue kilichotokea ,kumbe ndo mambo yalikua hivi aiseee
Yeah
Japo mwanaume anadai alikuwa controlled
Lakinu ukweli mwauame malaya au asiyempenda mke wake huwa akiulizwa alipo anadai anakuwa controlled
Mwanamume alishamtoroka huko huko UK haha
 
Tena hao Marioo wanaomiliki mbupu tu wanapuliza balaa yaan kulala makaburini sio shida zao,

Kuna Marioo mwengine pro max aliyakanyaga kwa Mmama wa mjini tena wa Tandale, alizoea kuwadangia Mimama yenye hela na kupewa good life basi akajidumbukiza kwa mama huyo wa mjini akiamini angekula hela za Mama na Mtoto wake matokea yake anazeeshwa na cha maana hana,

Anamkumbuka yule jimama wa kule Mbweni alivyokua anampelekesha atakavyo sasa hivi anapelekeshwa yeye, kutoka hawezi kubaki anazidi kupoteza muda,
[emoji23][emoji23][emoji23]

😂😂😂😂
 
Uyo mbuta dish limeyumba,
Kuna kipind alidate na mc pilipili
Ilikua ni vituko Kila kukicha mitandaoni
Akijaribu kushow love Kwa kipenzi chake pilipili[emoji1787]
images%20(5).jpg
 
Mwanaume wa zaman alikuwa anajiskia fahari kuhudumia mwanamke wake... tatizo siku hizi mnawapanga foleni so hutaweza kuwahudumia wote....na mnatake advantage ya hao poor girls kwamba mkiwa do mkiwaachia 20 kwake ni kubwa sana.
Mwanaume aliyekamilika lazima apende invoice ya ke anayeml
20???? Kwa kazi gani sasa aloifanya nimpe hela yote hiyo, aisee kumbe kuna wanaume wanateseka, ndo maana hawataki ndoa
 
Huyu mbuta alikuaga na duka la nguo London
Basi akajaribu kubrand nguo zake Kwa kua Wana mitindo yeye mwenyewe, basi ilkuaga full vituko[emoji1787]
images%20(8).jpg
images%20(4).jpg
images%20(2).jpg
 
Back
Top Bottom