Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Tar 18.04.2015 Yanga ilikua U/TAIFA ikiiwakilisha TANZANIA ktk michuano ya kimataifa.
Ktk mechi hiyo MBUYU TWITE alikua akicheza no6.
Baada ya cap(CANAVARO)kuumia kipindi cha pili,aliingia Said Makapu ambapo ilimlazimu TWITE kushuka chini kucheza no 5 akimpisha MAKAPU.
Muda mfupi baadae JUMA ABDUL aliumia na nafasi yake akaingia Rajab Zahir,Hapa tena TWITE alimpisha Zahir kwenye no5 yeye akaenda kucheza no2.
Akawa ameweka record ya dunia kwa kucheza katika mechi moja(dk90) kucheza nafasi tatu.
HUYO NI KIRAKA WA YANGA-MBUYU TWITE!!!
Cc Mikia

Attachments
Last edited by a moderator: