Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hali itakuwa hivyo kwenye kinyang'anyíro cha kumpata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baba Jesica tupa kule.
Sasa hilo ni la kuuliza? Wewe unafhani mtu kama Malinzi atampigia kura nani? Huo ni mtandao wa Sepp BlatterHapo utakuta TFF ilimpa kura Issa
[emoji15] [emoji15]Afadhali,
Issa Hayatou tangu 1988 watu tuko shule za msingi bhana
fjazia nyama kidogo ndgu!
Hayatou alijidhalilisha..alitaka afie madarakani sijui.
Angekuwa anachaguliwa huyu mbona zamani watu wangeshafanya yaoBado Wenger.
MmmmHali itakuwa hivyo kwenye kinyang'anyíro cha kumpata Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Baba Jesica tupa kule.
Wengine hatuja zaliwaAfadhali,
Issa Hayatou tangu 1988 watu tuko shule za msingi bhana
Safi sana,tunataka changes!