Mbuzi anapofia kwa muuza supu: Ajali nyingine kama umelogewa vile!

Mbuzi anapofia kwa muuza supu: Ajali nyingine kama umelogewa vile!

KITAULO

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
1,926
Reaction score
2,797
Unapojikuta ki-baby walker chako cha mkopo kimelivaa gari la waziri kwa bahati mbaya na kimsingi wewe ndiyo mwenye makosa, na hapo unaambiwa lazima kulipa na kesi juu.

Mkopo wa gari ndo kwanza bado unadaiwa 95%, kesi ya kujibu kutishia usalama wa waziri na kesi ya uharibifu wa mali ya umma inakuhusu, yani hapo lazima uhisi unamikosi kama yote.

Sasa shekhe unakutwa na hatwaree kama hii, hebu tuambiane kichwani utakuwa unawaza nini.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

IMG_20200125_205150.jpeg
IMG_20200125_205150.jpeg
 
Ntawaza kuwa kesi yangu ni Mimi Versus Republic of gangsters...
 
Hapo "makima" lazima waje wakufanyie "interogesheni" ya hali ya juu na ukijifanya mtatara uhujumu uchumi lazima ikuhusu watakusweka ndani utatamani kijibeb6 chako yono wakipige mnada!
 
Hapo si Ubungo mataa,

Jam ya hapo sio mchezo aisee
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hapo "makima" lazima waje wakufanyie "interogesheni" ya hali ya juu na ukijifanya mtatara uhujumu uchumi lazima ikuhusu watakusweka ndani utatamani kijibeb6 chako yono wakipige mnada!
Mshikaji aliyekuwa anaendesha hiyo Ist alinywea kinoma..halafu vijana wa TISS walikuwa wamemzunguka utadhani ni gaidi la kimataifa amedakwa na kuna zawadi nono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
umeogopa hata kusogea upige picha kwa karibu ?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Ukute lugo alipanga hiyo ajali ili ahirumiwe [emoji23] (just joking)

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamna kitu Kama hicho, Mimi huwa nikipatwa na jambo kubwa nakuwaga jasiri halafu najiamini na umakini juu
Hayaja kukuta kaka..jaribu kuungia msafara halafu wakudake ndo utaelewa kwann mashule yanafundisha elimu ya uraiya...mixer makofi na mitama kama anapigwa jambazi sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂 nawaza tu ingekuwa mimi sijui ingekuwaje, unaweza omba iwe ndoto uamke 😂😂
 
Hapo "makima" lazima waje wakufanyie "interogesheni" ya hali ya juu na ukijifanya mtatara uhujumu uchumi lazima ikuhusu watakusweka ndani utatamani kijibeb6 chako yono wakipige mnada!
Hiyo traffic case ya kawaida tu kama una leseni halai ya udereva.
Bima italipa, kama hauna bima hapo lazima uchungulie jela.
 
Back
Top Bottom