Mbuzi anapofia kwa muuza supu: Ajali nyingine kama umelogewa vile!

Mbuzi anapofia kwa muuza supu: Ajali nyingine kama umelogewa vile!

Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona kama gari la waziri wa Ulinzi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapojikuta kibaby walker chako cha mkopo kimelivaa gari la waziri kwa bahati mbaya na kimsingi wewe ndio mwenye makosa...na hapo unaambiwa lazima kulipa na kesi juu...mkopo wa gari ndo kwanza bado unadaiwa 95% ...kesi ya kujibu kutishia usalama wa waziri na kesi ya uharibifu wa mali ya umma inakuhusu...yani hapo lazima uhisi unamikosi kama yote..

Sasa shekhe unakutwa na hatwaree kama hii...hebu tuambiane kichwani utakuwa unawaza nini....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1334530View attachment 1334532View attachment 1334526
ah hakuna kuwaza unarara chini kama siyo mbele
 
Kuna siku nilikuwa natoka Gomz Mara kwa mbele nikaskia Paa jamaa kaivaa defender ya polisi wakashuka wote sasa chakusikitisha na cha kuhuzunisha defender nyuma ilikuwa ina kingo jamaa na kibaby walker chake bamber halifai, taa kule defender wala haijaumia popote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo cha kusikitisha ni kuambiwa umetishia usalama wa waziri au umekusudia kumzuru hapo usipoangalia lazima ugali maharage na nguo za orange zikuhusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si bima wapo.
Ni ajali kama ajali nyingine,kwani hakuna aliyetoka nyumbani akasema leo lazima nipate/nisababishe ajali.
 
Back
Top Bottom