Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hapo si Ubungo mataa,
Jam ya hapo sio mchezo aisee
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshikaji aliyekuwa anaendesha hiyo Ist alinywea kinoma..halafu vijana wa TISS walikuwa wamemzunguka utadhani ni gaidi la kimataifa amedakwa na kuna zawadi nono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo "makima" lazima waje wakufanyie "interogesheni" ya hali ya juu na ukijifanya mtatara uhujumu uchumi lazima ikuhusu watakusweka ndani utatamani kijibeb6 chako yono wakipige mnada!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...MAKOFI YATAKURUDISHA TZHapo itabidi nijisahaulishe kiswahili niongee kibeberu[emoji1][emoji1] maelezo mafupi mafupi muafaka utafikiwa haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hayaja kukuta kaka..jaribu kuungia msafara halafu wakudake ndo utaelewa kwann mashule yanafundisha elimu ya uraiya...mixer makofi na mitama kama anapigwa jambazi sugu
Waswahili hua tunaitumia lugha yetu ipasavyo, kabla ya kufikia muafaka mbongo anaweza kukulaumu masaa ma3 mfululizo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...MAKOFI YATAKURUDISHA TZ
Hiyo ni ajali Kama ajali nyingine..vyakulipwa vitalipwa maisha yanaendelea..wakitaka wasigongwe wapitishe magari yao angani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo traffic case ya kawaida tu kama una leseni halai ya udereva.Hapo "makima" lazima waje wakufanyie "interogesheni" ya hali ya juu na ukijifanya mtatara uhujumu uchumi lazima ikuhusu watakusweka ndani utatamani kijibeb6 chako yono wakipige mnada!