THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Mbona kama gari la waziri wa Ulinzi??Hapo ni kamata...karibu na daraja la SGR...hiyo ajali imetokea cku anko lugola anaenda kwenye uzinduzi wa ufunguzi wa nyumba za magereza...ilibidi gari aiache hapo...ndio hivyo tena wahenga wanasema cku ya kufa nyani miti yote huteleza...kumbe hii mikosi ilimuanzia tangu morning...[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ah hakuna kuwaza unarara chini kama siyo mbeleUnapojikuta kibaby walker chako cha mkopo kimelivaa gari la waziri kwa bahati mbaya na kimsingi wewe ndio mwenye makosa...na hapo unaambiwa lazima kulipa na kesi juu...mkopo wa gari ndo kwanza bado unadaiwa 95% ...kesi ya kujibu kutishia usalama wa waziri na kesi ya uharibifu wa mali ya umma inakuhusu...yani hapo lazima uhisi unamikosi kama yote..
Sasa shekhe unakutwa na hatwaree kama hii...hebu tuambiane kichwani utakuwa unawaza nini....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1334530View attachment 1334532View attachment 1334526
VAR yangu inaniambia hilo sio la waziri ni la judge
Limeandikwa W ULSielewi wanaosema ni la waziri maandishi wanayaonaje wkt inaonekana kabisa ni gari LA judge tena atakuwa senior maana haionyeshi kama ni no nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
kamata hiyoo kariakooHapo si Ubungo mataa,
Jam ya hapo sio mchezo aisee
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni ajali Kama ajali nyingine..vyakulipwa vitalipwa maisha yanaendelea..wakitaka wasigongwe wapitishe magari yao angani.
Sent using Jamii Forums mobile app