Kua specific kama pengine wahitaji kilo nyingi zaidi za nyama mbuzi? Kwa kawaida mbuzi wa wastani hucheza kwenye kilo 9 mpka 13 tu . Hivyo utaona makadirio yako hapo ila kuna advantage ya kichwa, utumbo nk. Kiufupi utakua na uhuru wa kuchagua ule nyama ipi na uache au umalize na ipi go for mbuzi mkuu.