Mbuzi kafia kwa muuza supu muda huu huu

Ambacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
Duh mkuu umenifikirisha sana
 
Starehe ya dakika 1 utakuja kujuta kwenye maisha yako yote ukija ukamata ukimwi
 
Wanaume was dar mnamatatizo sana
 
Pole sana,ujue huo mchezo keshauzoea mwenzio! Hongera kwa kuuza mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…