Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna maana tofauti zaidi ya hii ninayoifahamu ya Kuchubua nazi na ubao maalum?!Umenikumbusha..huu msemo wa kukuna nazi...
Nlikua nawasikia makonda wakisema Sana Acha kukuna nazi...sikuwana jua maana Yake..
Asante Mkuu kwa kunifahamisha..mbuzi really???
Hicho kinaitwa ""kibao chambuzi ""
Kibao kinachotumika kuchambua Nazi (chambuzi)
asa mbuzi anaingiaje apo au una Manisha Nini?
[emoji3048] scraper stool...[emoji6][emoji854]
Kule Tanga watoto wa kike udogoni huimba hiviUkiachana na ile chopping board iliyopata mrejesho hasi.
Pia Kuna kifaa hua natumia Sana..kwa jiko langu...nacho Ni MBUZI..
sijui mbuzi kwa English inaitwaje...
Je Wewe kitaa gani unatumia zaidi jikoni kwako?
View attachment 1721194
Ntaenda Tanga kutalii..haiwezakani Duabi inishinde...hata Tanga kwa story za waty watanga...lazima nikwaone TU...wanafananajeKule Tanga watoto wa kike udogoni huimba hivi
Mkuno wa nazi mkuno wa nazi unanipendezaaaa
Ukikunia huku wanipendezaaaa.., ukikunia kule wanipendeza...
Ukikunia hivi wanipendezaaaa, ukikunia vile wanipendezaaa....!!!
Halafu wenyewe wanashika nyonga zao na kuzichezesha huku na kule, mbele nyuma na kubinukabinuka...na wengine hufanya hivyo wakiwa wamekalia vibao vya mbuzi
Kiswahil ni (kibao chambuzi )sio kibao Cha mbuziMbuzi kuna Nazi.