Mbuzi ndio kifaa ninachotumia sana jikoni kwangu kwa sasa

Mbuzi ndio kifaa ninachotumia sana jikoni kwangu kwa sasa

Kule Tanga watoto wa kike udogoni huimba hivi
Mkuno wa nazi mkuno wa nazi unanipendezaaaa
Ukikunia huku wanipendezaaaa.., ukikunia kule wanipendeza...
Ukikunia hivi wanipendezaaaa, ukikunia vile wanipendezaaa....!!!

Halafu wenyewe wanashika nyonga zao na kuzichezesha huku na kule, mbele nyuma na kubinukabinuka...na wengine hufanya hivyo wakiwa wamekalia vibao vya mbuzi
Wanaanza kufundisha mapema kutufinyia kwa ndani,Nakumbuka niliwahi pukutisha mtaji wangu wote maeneo ya Pangani.
 
Natumia blender kusagia nazi
Naivunja baadae naikwangua nyama ya ndani na kisu then nasaga kwa blender
 
Back
Top Bottom