Kule Tanga watoto wa kike udogoni huimba hivi
Mkuno wa nazi mkuno wa nazi unanipendezaaaa
Ukikunia huku wanipendezaaaa.., ukikunia kule wanipendeza...
Ukikunia hivi wanipendezaaaa, ukikunia vile wanipendezaaa....!!!
Halafu wenyewe wanashika nyonga zao na kuzichezesha huku na kule, mbele nyuma na kubinukabinuka...na wengine hufanya hivyo wakiwa wamekalia vibao vya mbuzi