Mbuzi VS kuku wataalam wa kuchambua risk za mifugo ipi ina risk na inaongoza Kwa kuingiza watu mkenge

Wakuu baada ya kutafakari mda mrefu Mara baada ya kufiwa na makuku yangu matetea 10 licha ya kuwapa madawa nimepata wazo la mbuzi.... Vipi wazoefu wa mfugo huu
Karibu sana ktk ufugaji wa Mbuzi, naomba nikushauri kitu mifugo yote pia ina rski kubwa sana hakuna mfugo au ujasiria mali usio kuwa na changamoto, yote inachangamoto zke kikubwa kinacho pashwa kufanywa na mfugaji ni kujua njia mbali mbali za kuzikabili hizo changamoto ndio utavuka.
 
Ukifuga mbuzi jiandae kuwa mteja wa mtendaji wa Kijiji kwani kesi za kushtakiwa na majirani zako juu ya uharibifu wa mbuzi ni wa Kila siku

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
weeee[emoji23][emoji23]
 
Mkuu Nipe connection hiyo aisee kwa maana wanyama wangu walibebwa na watu wasiojulikana
 
Ukinipa mtaji wa kuku sawa na mtaji wa mbuzi nitafuga kuku.

Ukipewa mtaji mfano 2,000,000/= ununue mbuzi Nami ninunue kuku halafu mwisho wa mwaka tulete hesabu amini nitakuzidi zaidi ya mara4 Mimi mfuga kuku.

Mfano ukinunua mbuzi Kwa tsh60k
Kwa 2m ni sawa na mbuzi 33 tu utabakiwa kama 20k

Hapa Kila mtu ana mabanda yake na chakula na madawa ni juu yake.

Halafu Mimi Niki kufanya mitetea inayokaribia kutaga kijijn inauzwa 10,000 hii inataga ama kukaribia kabisa(mwezi 1 wanataga)

Nitakuwa na kuku wa kienyeji 200(majogoo20)

Hawa kuku ndani ya miezi 2 watakuwa Wana vifaranga visivyopungua 1500!

Wakati huo mbuzi wako Bado hawajapandwa.

Vifaranga hao nitawalea Mimi na mama zao kuwaacha wapandws na watage Tena ambapo ndani ya miezi 2 Tena nitakuwa na vifaranga wasiopungua 2200.

Zoezi litaendelea vivyohivo kuwalea wale vifaranga na Kwa Wakati huu wale mbuzi Sasa watakuwa na mimba sio wote baadhi tu.

Kuku wangu wanapenda kutotoa Kwa awamu ya3 mbuzi wako ndo wanazaa Kwa mara ya kwanza. Ambapo utakuwa na vitoto 43 maana Kuna baadhi utabahatisha watazaa mapacha.

Ukumbuke mbuzi Kwa mwaka huza mara2 tu

Kwa kifupi tu mfugaji wa mbuzi huwezi mlinganisha na mfugaji wa kuku wa kienyeji Kwa faida.

Tukija kwenye changamoto ni kweli kuku Wana changamoto nyingi kuliko mbuzi na jambo lenye faida lazima liwe na changamoto nyingi vilevile.

Pia mbuzi watahitaji eneo kubwa mno la kuchungia tofauti na kuku.

Hayo ni mawazo kama mfugaji wa mbuzi na kuku wa kienyeji na chotara.

Fuga kuku Kwa faida. SoMo ni Nje Nje.
 
Pole sana asee ungekuwa karibu ningekuadress kwa jamaa mmoja kiboko ya wezi.... Anatega tego kwenye eneo lako mwizi akifika tu anachezea fimbo kuanzia hapo mpaka atakaponasuliwa na mtegaji... Gharama ni buku 15 tu na kuku mmoja....
Huyo mwizi akinasa ndiye atakaelipa gharama za mtegaji
Mkuu upo wapi?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ulikuwa hujajipanga kwenye kuku,mm ninao 1000 na zaidi kufa wanakufa na bado napata faida,mbuz wako vizur,chamsingi ujipange faida ni ndogo kuliko kuku mkuuu ujipange na watalaam wa mifugo,kumbuka hakuna kaz rahisi hapa duniani
Bado unafuga mkuu?

Kifo hakiepukiki hata binadamu tunakufa Kila saa kwenye mahospital. Ukiwa kama mfugaji Hilo lazima ulijue tu. Hongera sana najua faida ya kuku ilivyo.
 
Ukinipa mtaji wa kuku sawa na mtaji wa mbuzi nitafuga kuku.

Ukipewa mtaji mfano 2,000,000/= ununue mbuzi Nami ninunue kuku halafu mwisho wa mwaka tulete hesabu amini nitakuzidi zaidi ya mara4 Mimi mfuga kuku.

Mfano ukinunua mbuzi Kwa tsh60k
Kwa 2m ni sawa na mbuzi 33 tu utabakiwa kama 20k

Hapa Kila mtu ana mabanda yake na chakula na madawa ni juu yake.

Halafu Mimi Niki kufanya mitetea inayokaribia kutaga kijijn inauzwa 10,000 hii inataga ama kukaribia kabisa(mwezi 1 wanataga)

Nitakuwa na kuku wa kienyeji 200(majogoo20)

Hawa kuku ndani ya miezi 2 watakuwa Wana vifaranga visivyopungua 1500!

Wakati huo mbuzi wako Bado hawajapandwa.

Vifaranga hao nitawalea Mimi na mama zao kuwaacha wapandws na watage Tena ambapo ndani ya miezi 2 Tena nitakuwa na vifaranga wasiopungua 2200.

Zoezi litaendelea vivyohivo kuwalea wale vifaranga na Kwa Wakati huu wale mbuzi Sasa watakuwa na mimba sio wote baadhi tu.

Kuku wangu wanapenda kutotoa Kwa awamu ya3 mbuzi wako ndo wanazaa Kwa mara ya kwanza. Ambapo utakuwa na vitoto 43 maana Kuna baadhi utabahatisha watazaa mapacha.

Ukumbuke mbuzi Kwa mwaka huza mara2 tu

Kwa kifupi tu mfugaji wa mbuzi huwezi mlinganisha na mfugaji wa kuku wa kienyeji Kwa faida.

Tukija kwenye changamoto ni kweli kuku Wana changamoto nyingi kuliko mbuzi na jambo lenye faida lazima liwe na changamoto nyingi vilevile.

Pia mbuzi watahitaji eneo kubwa mno la kuchungia tofauti na kuku.

Hayo ni mawazo kama mfugaji wa mbuzi na kuku wa kienyeji na chotara.

Fuga kuku Kwa faida. SoMo ni Nje Nje.
Kufuga kuku uwe na roho ngumu sana, mbuzi ni utajiri uliojificha, risk za mbuzi ni kuibiwa tu, ila mengine yote Huna stress, kuku wanaumwa magonjwa yote ya binadamu, mbuzi hawana magonjwa hovyo zaidi ya homa ya mapafu na chanjo yao mara moja kwa mwaka, mbuzi anakula majani tena ya miti na miba miba, ukimpa ziada ni kupenda kwako binafsi, ila majani na maji mengi ananenepa vizuri tu, sasa hivi mbuzi ni 120,000 mmoja, kwa mtaji huo, ina maana unaweza pata mbuzi 40, yaan kwa sh.50,000 Mbuzi, ndani ya mwaka mmoja anazaa mara mbili, hapo tusihesabie mapacha tuhesabie wamezaa watoto mmoja mmoja kwa uzao mmoja, kwa wastani watoto 70, kumbuka tuna wale wazazi 40. Sasa tuuze hawa 40, tubaki na watoto ambao tutawakuza wakizaa tutauza wazazi. Kwa soko la sasa mbuzi ni 120,000 basi tuuze kwa 100,000 *40 = 4,000,000/=

Hapo una watoto ambao baada ya miezi 8 watazaa tena, tutakuza watoto miezi 3 kisha wazazi tutawauza. Unasemaje mbuzi hawalipi? Hapo umetetea upande wako, ila kwa sisi tunaojua mbuzi na kondoo ni pesa ambayo haina kelele
 
mi nafuga mbuzi pia najua faida yao vizuri tu.......Kuku wanafaida kuliko mbuzi hii haihitaji mahesabu ndefu.
Eneo la kufugia mbuzi 70 ni bajeti nyingine. Kuku wana faida kubwa na hasara kubwa pia.

hasara niliyowahi pata niliagiza vifaranga 400 wakafa na kubaki 8 hivyo nilipoteza vifranga 392!
tangu hapo sijawahi kula hasara tena nikiagiza vifaranga 500 naweza poteza 3-9 tu

Mwisho nakubaliana nawewe kabisa mbuzi hana changamoto za magonjwa shida yao kubwa ni eneo kama una pori
kwa hakika utafaidi sana. Ahsante
 
Kumbe we upo kwenye hoja ya eneo! Kwamba kama unataka kupata faida ya mbuzi uwe na eneo kubwa tofauti na kuku? Hapo ni sawa maana wastani wa kufuga mbuzi 50 ambao ni zero grazing au kulisha vizimba ni heka moja. Wakati kuku kwa heka ni wengi sana watakaa. Ila kuhusu faida mbuzi wana faida kubwa mno! mno! mno! Kwanza kuku chakula tu msalaa! Bajeti ya kulisha kuku 1000 kwa mwezi kwa mbuzi itakuwa nusu yake! Tena hapo umeamua kuwapa supplements kama pumba, mashudu, na kumlipa mwangalizi. Mbuzi na kondoo ni utajiri uliojificha ndo maana Uganda,kenya, South Africa vijana wengi wamehamia kwenye kufuga mbuzi na kondoo soko la Oman, Comoro, ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom