Mbuzi wa mitaani Dar es salaam mjini

Mbuzi wa mitaani Dar es salaam mjini

Tyrone Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
1,617
Reaction score
3,405
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.

Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.

Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.

Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
 
Hao mbuzi wa kawe mala nying wanashinda huku mbezi Africana ikifika jioni wanaludi home
 
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.

Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.

Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.

Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?

07206C91-95E4-477F-BAD2-E0D07B9CB15F.jpeg
 
Ila huyu mbona kama CDM vile anachana bango la mgombea hadharani imekaaje hii kitaalamu zaid 🏃🏃🏃🏃😂
 
Mpaka Kkoo wapo hawa maisha yao hayana tofauti na kuku wa kienyeji
 
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.

Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.

Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.

Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Mitaa ya yombo kule wanalala jalalani ukija kiwalani hua Wana wenyewe lakini hawaibiki [emoji23] nilishuudia mtu alibeba mbuzi mgongoni na hakutoka mpaka mwenyewe mbuzi akaja kumnasua dah Yan alinasa kabisa mgongoni.
 
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.

Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.

Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.

Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Mbuzi wanavuka zebra.

Watu hao
 
Kigamboni hapa feri wapo nakwambia yamependeza mpaka basi.
 
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.

Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.

Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.

Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Hawa mbuzi kuvuka barabara anaangalia kushoto kisha kulia na akijihakikishia ni salama ndio anavuka...
 
Kulbe Wapo sehemu nying sana hapa Dar? Halafu nyama ya mbuzi ni ghali kuliko Ng'ombe
 
Hao mbuzi hawana uchawi wowote. Mimi nilinunua eneo Morogoro mjini karibu na soko la Mawenzi nikanunua mbuzi nikajenga na kajumba ka mlinzi. Yule mlinzi alikuwa anawafungulia asubuhi wanazurula mitaani jioni wanarudi. Walizaliana mpk wakafikia kama 30 na walikuwa wanaitwa mbuzi wakishirikina
 
Sasa kwanini wezi wanaogopa kuwaiba?
 
Back
Top Bottom