Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.
Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.
Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.
Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?