Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.
Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.
Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.
Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Mitaa ya yombo kule wanalala jalalani ukija kiwalani hua Wana wenyewe lakini hawaibiki [emoji23] nilishuudia mtu alibeba mbuzi mgongoni na hakutoka mpaka mwenyewe mbuzi akaja kumnasua dah Yan alinasa kabisa mgongoni.Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.
Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.
Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.
Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Mbuzi wanavuka zebra.Umuofia kwenu?

Hawa mbuzi kuvuka barabara anaangalia kushoto kisha kulia na akijihakikishia ni salama ndio anavuka...Umuofia kwenu?
Kuna hawa mbuzi wanajichunga wenyewe utawaona kwa makundi, sana sana maeneo ya Mbagala Kizuani, Zakhem mpaka Rangi tatu.
Mwembeyanga na zamani maeneo ya Tandika mpaka Mtoni na Azimio.
Nimeshawaona pia Mwananyamala, Kawe, baadhi ya maeneo ya kigogo.
Kuna maneno ya mtaani kadha wa kadha kama vile misukule, mbuzi waliosomewa ukila una RIP.
Mbona wezi hawawaibi, halafu walalaga wapi au popote kambi?
Hivi ushawahi kusikia nini kuhusu ukweli wa wale Mbuzi?
Mada ya Mshana Jr kuhusu vichaa kuheshimu na kutii PESA, MAPENZI na MAGARI inapata hoja ya nguvuHawa mbuzi kuvuka barabara anaangalia kushoto kisha kulia na akijihakikishia ni salama ndio anavuka...
Sasa kwanini wezi wanaogopa kuwaiba?Hao mbuzi hawana uchawi wowote. Mimi nilinunua eneo Morogoro mjini karibu na soko la Mawenzi nikanunua mbuzi nikajenga na kajumba ka mlinzi. Yule mlinzi alikuwa anawafungulia asubuhi wanazurula mitaani jioni wanarudi. Walizaliana mpk wakafikia kama 30 na walikuwa wanaitwa mbuzi wakishirikina
Imani tu na maneno ya watuSasa kwanini wezi wanaogopa kuwaiba?