kalikumutima
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 147
- 46
Mbwa jike GERMANY SHEPHERD ana umri wa miezi2 na wiki2. Yupo Pugu-Dar. cont:0625471226 bei laki4 ila mazungumzo yapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unacheka mkuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]dahMbona kama fisi huyu,au umefyetua picha vbaya mazingira hayamuuzi huyu
Hiyo laki nne ni mbwa pamoja na kiwanja?Mbona unacheka mkuu??
Wewe ni mhujumu uchumiMbwa jike GERMANY SHEPHERD ana umri wa miezi2 na wiki2.Yupo Pugu-Dar.cont:0625471226 bei laki4 ila mazungumzo yapoView attachment 1796377View attachment 1796378View attachment 1796379
Mkuu, hao mbwa huwa wanauzwa bei ghali sana. Hiyo 4 ni bei nafuu sana!Hiyo laki nne ni mbwa pamoja na kiwanja?
Duuh!!!
Kama ni utani huu umepitiliza
Huyu si mbwa wa wahehe vilabuni