Hata mm aisee.. Mbwa kama anakula ganja. Du.Huyu mbwa hata nipewe bure simchukui aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mm aisee.. Mbwa kama anakula ganja. Du.Huyu mbwa hata nipewe bure simchukui aisee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nyie kuweka bei hadi mtafutwe?
Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap
Sema wamekuwa na report za kuwajeruhi hata kuwaua wafugaji wao..wana namna yao ya kuwafugaAnazingua.....
Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kingunge wale mbwa walikuwa hawajamzoea?