P Patroman JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 809 Reaction score 1,222 Apr 7, 2019 #21 Apeche Alolo said: Huyu mbwa hata nipewe bure simchukui aisee Click to expand... Hata mm aisee.. Mbwa kama anakula ganja. Du.
Apeche Alolo said: Huyu mbwa hata nipewe bure simchukui aisee Click to expand... Hata mm aisee.. Mbwa kama anakula ganja. Du.
Crucified JF-Expert Member Joined Aug 9, 2024 Posts 327 Reaction score 327 Dec 22, 2024 #22 muafi said: Nyie kuweka bei hadi mtafutwe? Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
muafi said: Nyie kuweka bei hadi mtafutwe? Au ndo yaleyale nikija nikakuuliza sh ngap wewe unanijibu kwani una sh ngap Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Crucified JF-Expert Member Joined Aug 9, 2024 Posts 327 Reaction score 327 Dec 22, 2024 #23 cosmonaut said: Anazingua..... Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sema wamekuwa na report za kuwajeruhi hata kuwaua wafugaji wao..wana namna yao ya kuwafuga
cosmonaut said: Anazingua..... Sinpendi mpwa ila Kuna hao wanaitwa American Pitpull wamejazia mikono Kama wanapiga chuma/gym Ni wanavutia na kutisha/ulinzi tosha kabisa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sema wamekuwa na report za kuwajeruhi hata kuwaua wafugaji wao..wana namna yao ya kuwafuga
Crucified JF-Expert Member Joined Aug 9, 2024 Posts 327 Reaction score 327 Dec 22, 2024 #24 bintishomvi said: Yaliyomkuta kingunge naogopa ata kufuga hawa wanyama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi kingunge wale mbwa walikuwa hawajamzoea?
bintishomvi said: Yaliyomkuta kingunge naogopa ata kufuga hawa wanyama Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hivi kingunge wale mbwa walikuwa hawajamzoea?