Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

Hahaahhaaaaaaa...
Itakuwa mbwa walikuwa wanashambulia mdo mdo huku wakisubiri vikosi zaidi!.
 
POINT to note:- Hakupambana bali alishambuliwa na kuangushwa chini kingeereza nitumie neno ( attacked and be mauled) Kampuni ya ulinzi kufika mapema inategemea walikuwa umbali gani na nyumba ya mteja wao ambako ndo tukio lilikotokea, walifika mapema na kujaribu kufyatua risasizipatzo tano hewani.
4. Hao watu waliitwa kwa pamoja na wote wakafika kwa ujumla wao:- hawakufika kwa pamoja kumbuka mtu wa kwanza kushindwa kuwacontrol mbwa ni handler mwenyewe ambaye ni mtunza bustani aliyewafungulia usiku, mmiliki wa nyumba baada ya kushuhudia tukio na kuomba msaada kwa kampuni ya ulinzi, kampuni ya ulinzi nayo ikashindwa na kuita polisi waliowapiga mbwa wote risasi, ( Technical know how)
Kifupi mimi nililenga kutoa elimu kidogo kusaidia wale wachache amabao wanamiliki ama wanampango wa kumiliki Rottweiler ni namna gani wafanye ili kudhibiti, nadhani maelezo zaidi ukihitaji utayapata polisi.
Na pia sikuwa eneo la tukio bali nilipigiwa simu na mtu aliyefika eneo la tukio na kwa kutambua ninafuga mbwa wa aina hiyo akataka kujifunza kitu kutokana na tukio zima. ila kwa utashi wangu nikajaribu kushare ninachokijua kutokana na hao mbwa kwa vile nimewatumia kazini kwa zaidi ya miaka kumi na kitu, na ninawafuga kwa zaidi ya miaka nane. nimekuwa wakizaa ninauza watoto na nawatumia kwa ulinzi. asante.
 
Unafuga mbwa kwa ajili ya ulinzi, matokeo yake wewe ndiye unakuwa mlinzi wake, maajabu haya!
Hata bunduki unanunua kwa ajili ya kukulinda matokeo yake wewe ndo unailinda, mbwa yuko kwenye kundi la silaha na kwa wenzetu Rottweilers tayari wametajwa kama mbwa hatari. Na ukishaona umeanza kushindwa kumcontrol na bado unamhitaji tumia muzzles
 
mziki unakuja nani wa kumvalisha muzzles na nani wakumtoa,bado ntihani iko pale pale

ukiinama nchale ukisimama nchale yani kama huwezi fuga hii kitu ni kuachana nayo tu hamna namna
 
Ni maeneo gani hayo ya Dar mbwa wameua?
 
haahaahaaaa mi mwenyewe breakfast kuipata mtihani. eti nimpe mbwa. kha mambo mengine yanipite tu
Ishi unavoweza siyo unavotaka, kifupi kama huwezi hata kupata breakfast huwezi kununua huyo mbwa, kwani mdogo wa miexi miwili utahitaji laki 5 hivo si level yako
Ni maeneo gani hayo ya Dar mbwa wameua?
 

Killer dog mauls owner to death then feasts on his flesh as helpless police forced to watch in horror!​

Mani Ram, a farm caretaker, had bought the dog to guard his home, but as he went to untie him, Tiger turned and violently ran at him.

According to eye witnesses, the dog didn’t stop there and went on to “maul his face and feast on the flesh from his hands and chest for more than an hour”.

 
Hawa mbwa ni hatari kuliko maelezo ....hili tukio lilitokea karibu kabisa na nyumbani kwangu sikulala usiku huo nilianza kusikia milio ya risasi kuanzia saa 7 mpaka saa 9 usiku ya aina mbalimbali ya bunduki nikajua ni majibishano ya risasi ya polisi na majambazi kumbe ni majirani waliojitolea kuuwa mbwa wale lakini wakashindwa mpaka pale askari maalum walipowasili ndio wakafanikiwa kuuwa wale mbwa huku kijana akiwa hoi....kila mtu alikuwa hoi na tukio hili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…