Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

German shepherd ni mkali lakini mtiifu sana na anafundishika kirahisi, anapokea order mapema na hasau. Rott shida yake kubwa ni mgumu kufundishika na kigeugeu anaka kukumbushwa Mara kwa mara
Na kadili anavyozeeka, ndivyo anavyozidi kuwa na ukali usio na maana!
 
Nami nimejifunza funza masuala ya hawa mbwa, na kufahamu baadhi ya mambo, kutokana na ndugu yangu kufuga, na kufanya biashara ya hawa viumbe. Nimemjuw huyo GS, Pitbul BB, RW nk. Kuna watu wanakuja kununua mbwa mkubwa, jamaa anachofanya ni kumwambia mteja jina la huyo mbwa, na kumkabidhi mnyororo, na kuondoka naye. Wakati mwingine, anatumwa kutoka mji mmoja mpaka mwingine, na mnunuzi anaenda kumpokea, akiwa kwenye box. Ila, cha msingi uwe unafahamu ku deal na hao mbwa, na ulijue jina la huyo mbwa.
 
Uko sahihi lakini risk ni kubwa mno hasa ukikutana na jamii ya RW ambaye muda mwingi alikuwa anafungiwa ndani
 
ngoja tupambane na hawa koko tunawatunga majina eti simba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



German shephered ndio mbwa intelligent kuliko wote. Huyu ndio ana akili timamu na msikivu.
huyu ndio kama wa john wick?


5. French bulldog [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1628820[/QUOTE]



Kwa company frenchbulldog ni wazuri sanaView attachment 1629024
mi nampenda uyu [emoji173] alivyo mdogo mdogo
 
Tumefuga mbwa wakali kwa miaka mingi tangu nikiwa mdogo eneo la Haille Selasie Road uzunguni kule Arusha

Tuna Boerboel na G-shepherds kwasasa na tunauza pia

BB tuliletewa breed na kaburu mmoja

What I know, Rotwellers ni mbwa wenye nguvu sana hasa kifuani na kwenye taya, sikuwahi kujua ukorofi wao

Najua kuwa Boerboel akizeeka naye anakuwa hatari
 
Umezoea kukutana na mbwa koko mkuu!!! Tena futa kauli maana wewe nikikuchanganya kwenye banda la pitbull mmoja tu, dakika tano nyingi ushakuwa kitoweo.

Ila mkuu si mpaka uchanganywe kwenye banda na labda mmefungiwa humo ndo mtu anauliwa. Kwa nnavyojua hata paka ukijifungia nae kwenye banda anaweza kukuua. Hio ni moja

Pili labda kama unavyosema walikua zaidi ya mmoja hao mbwa(Pack) ila kwa hali ya kawaida Mtu mzima(Adult Male) kushambuliwa mpaka kuuliwa na mbwa(mmoja) ni ngumu kwakweli

Kwa uzoefu wangu wa kufuga mbwa sijakutana na scenario ambayo mbwa anamshambulia mtu timamu mpaka anakufa, achilia mbali na msaada wa watu wote hao waliokuja kwa nyakati tofauti tofauti. Kuna makosa makubwa yalifanyika(uzembe/ignorance/kutokujua cha kufanya). Labda hii elimu itawasaidia wanaotegemea kufuga
 
Yani maswali fikirishi sana mkuu akitujibu ni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…