Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

KakaMkubwa... sikuwa na lengo la kukukomoa bali elimu uliyotoa imekaa poa na binafsi nimeipokea vizuri tu na ndomana hata comment zangu ukicheki nimeonelea ili kumwepuka mnyama huyo hatari basi bora kufuga wanyama wakali wa porini ujue moja tu kuliko kufuga mbwa anayetambulika ni wa nyumbani lakini masharti yake ni zaidi ya simba au zaidi ya mke mdogo!!!

Najua hii ni habari tu na hata wewe umefanya kuipata kutoka chanzo fulani cha habari ila nilichokuwa natafakari ni namna ilivyoripotiwa kutoka huko kwenye chanzo kwamba wameshindwa fulani na fulani mpaka akaja fulani ndo aka... kitu ambacho hakiniingii akilini kwavile spidi ya wanyama wenye kucha katika kushambulia sidhani kama kuna asiyeijua

Chukulia tu mfano chui mmoja anashambulia watu kadhaa ndani ya muda mchache sana watu wote chali halafu urudi kuvuta picha mbwa (tena wanne) washambulie mtu mmoja lakini kuchukue kitambo kiasi kwamba ipatikane time ya kuita watu tofauti tofauti na kwa muda tofauti.
 
Umezoea kukutana na mbwa koko mkuu!!! Tena futa kauli maana wewe nikikuchanganya kwenye banda la pitbull mmoja tu, dakika tano nyingi ushakuwa kitoweo.
kwa akili yako timamu wewe unaweza kuuliwa na mbwa mmoja, hata awe mkali vipi[emoji848]
 
kwa akili yako timamu wewe unaweza kuuliwa na mbwa mmoja, hata awe mkali vipi[emoji848]
Mbwa mmoja asee hawezi niua atanijeruhi tu ila sio kunitoa uhai

tena mmoja asipoangalia ntamuua yeye yani nikidaka shingo siachiii

mpaka waje wasamaria wema kumuokoa,ntauliwa na mbwa watatu kuendelea

ila mbwa mmoja au wawili eti wanitoe uhai hiyo ngumu kumeza asee haitokaa itokee
 
picha???
 
Hawa jamaa nawaelewa Sana unambii chochote hapa namtafuta mnyama anaitwa Belgium Malinois huyu ndo hatari zaidi, bahati mbaya nchi nyingi zimempiga marufuku
hao mbona niliwaona natty dogs kipindi fulani embu ingia kweny page yao instagram upitie utawaona
 
huo uzi upo umu jukwaani nenda jukwaa la kilimo,uvuvi na ufugaji utaukuta
 
Picha gani unahitaji
Furahisha jukwaa, mbwa wanaongelewa hapa akiwa mmoja anakuwa ndani ya dk 10 tu, akiamua.
kwa akili yako timamu wewe unaweza kuuliwa na mbwa mmoja, hata awe mkali vipi[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…